YoVDO

Ebola: Utangulizi

Offered By: OpenWHO

Tags

Pandemic Courses Public Health Courses Disease Prevention Courses Outbreak Response Courses

Course Description

Overview

Kikao hiki cha utangulizi kinaelezea kanuni za msingi za ugonjwa wa virusi vya Ebola na njia za kujikinga na kuwakinga wengine. Mwisho wa somo hili, unapaswa kuwa na uwezo wa: kuelezea ugonjwa wa virusi vya Ebola (EVD) na jinsi unavyoenezwa, kumbuka hatua za msingi za kukinga EVD na kuorodhesha masuala muhimu ya afya ya umma wakati wa mlipuko wa Ebola.


Syllabus

Course information

Kozi hii pia inapatikana katika lugha zifuatazo:

English - français - Lingála

Maelezo ya jumla: Watoa maamuzi na washiriki wa msitari wa mbele watapata somo la utangulizi pamoja na rasilimali kuhusu ugonjwa wa virusi vya Ebola hapa. Rasilimali hizi zinaweza kutumika kama kozi za marudio kwa wafanyakazi wenye uzoefu au kama utangulizi wa mada kwa mtu mwingine yeyote. Vifaa vinaweza kupakuliwa kwa matumizi ya nje ya mtandao.

Malengo ya mafunzo: Mwishoni mwa kozi, washiriki wanapaswa kuweza yafuatayo:

  • kueleza kanuni za msingi za ugonjwa wa virusi vya Ebola; na
  • kufafanua jinsi ya kujikinga na kuwakinga wengine dhidi ya kupata ugonjwa wakati wa kupambana na mlipuko.

Muda wa Kozi: Takriban dakika 30.

Vyeti: Hakuna cheti kinachotolewa kwa kozi hii. Cheti kitatolewa kwa wale ambao wamekamilisha mafunzo ya e-PROTECT.

Imetafsiriwa kwa Kiswahili kutoka Kiingereza Ebola: Introduction, 2020. WHO haiwajibikii yaliyomo au usahihi wa tafsiri hii. Katika tukio la kutokubaliana kokote kati ya Kiingereza na tafsiri ya Kiswahili, toleo la asili la Kiingereza litakuwa toleo la kutegemewa na halali.

Tafsiri hii haijathibitishwa na WHO. Rasilimali hii imekusudiwa kwa madhumuni ya msaada wa kujifunza tu.

Course contents

  • Utangulizi kuhusu Ebola:

    Moduli hii inatoa muhtasari wa kiwango cha utangulizi wa ugonjwa huu.

Related Courses

Коронавирусы SARS-CoV-2 и возбудители ОРВИ
Saint Petersburg State University via Coursera
Bases en épidémiologie des maladies animales et zoonotiques
Agreenium via France Université Numerique
Building on the SIR Model
Imperial College London via Coursera
Fight or Die: The Science Behind FX's The Strain
University of California, Irvine via Canvas Network
Population Health During A Pandemic: Contact Tracing and Beyond
University of Houston via Coursera